Badala ya utulivu na maandamano ya amani yaliyo shuhudiwa wiki iliyopita, vurugu na milio ya risasi vilitawala mitaa ya miji kadhaa ya Kenya.
A group of men carries a wounded demonstrator near the Parliament during a protest against tax hikes in Nairobi, Kenya, 25 June 2024. Source: EPA / Daniel Irungu/EPA/AAP Image
Kufikia sasa taarifa tulizo pokea ni kwamba watu 10 wamefariki na mamia kujeruhiwa.Kenyan President William Ruto speaks during his state of the nation address after protests against tax hikes, at State House in Nairobi, Kenya, 25 June 2024. Source: EPA / Daniel Irungu/EPA/AAP Image
Alipo hotubia taifa usiku wakuamkia leo, Rais Ruto ali laani matukio yaliyo shuhudiwa naku ahidi kuwa serikali "itatumia rasilimali zote inazo kudumisha usalama naku hakikisha matukio yaliyo sababisha bunge la taifa kuvamiwa na sehemu yake kuchomwa moto haya rudiwi.Tuta kuletea taarifa zaidi punde tutakapo zipokea.