#3 Kuzungumza kuhusu asili zakitamaduni| Jan 26 (Australia Day)

sbs learn english ep3

Source: Getty / Getty images

Jifunze jinsi yakuzungumza kuhusu historia ya utamaduni wako. Pia jua kwa nini Australia Day inaendelea kuwa siku ya maandamano kwa wa Australia wa kwanza.


Moja ya njia bora yakujifunza Kiingereza niku sikiza nakufanya mazoezi kidogo kidogo kila siku.

Makala haya yaliyo rekodiwa yanaweza kusaidia kufanya hivyo. Kupitia SBS Learn English
tuna kusaidia, kuelewa nakuunganishwa nchini Australia.

Bofya hapa usikize makala mengine  view all episodes


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service