Aina mpya ya kirusi cha mpox chatambuliwa Pakistan, umakini wa himizwa na hatua ziongezwe

A health worker attends to a girl suffering from mpox, at a treatment centre in Munigi, eastern Congo

A health worker attends to a girl suffering from mpox, at a treatment centre in Munigi, eastern Congo, Friday, Aug. 16, 2024. (AP Photo/Moses Sawasawa) Source: AP / Moses Sawasawa/AP

Kesi mpya ya kirusi cha mpox imeripotiwa nchini Pakistan, baada ya kesi kama hiyo kuripotiwa nchini Sweden.


Mamlaka wame ongeza juhudi kuthibitisha kama ni aina mpya ya kirusi kinacho zua hofu, siku kadhaa baada ya WHO kutangaza dharura ya afya duniani baada ya virusi hivyo kusambaa.

Hakuna kesi mpya ya aina mpya ya mpox, ambayo imeripotiwa nchini Australia kwa sasa. Ila, kume kuwa ongezeko kwa aina ya kirusi ambacho si kikali sana ambacho tayari kiko nchini Australia, kuna kesi 35 zilizo rekodiwa katika siku 15 zilizo pita, katika majimbo kadhaa nchini.

Nias Peng ni mtaalam wa virusi katika shirika la CSIRO, amesema ujio wa virusi hivyo ni sawia na ile hali ya 2022. Mamlaka wa Afya wamesema huu ni wakati waku chukua hatua za haraka, kuzuia historia kujirudia.



Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service