Bw Prosper "uzoefu wetu wa ukimbizi hauja ondoa utu wetu"

Mchungaji  Prosper.jfif

Australia ni nyumbani kwa ma milioni ya watu kutoka mazingira mbali mbali, walio wahi kuwa wakimbizi wakijumuishwa.


Bw Prosper ni miongoni mwa mamilioni yawatu walio hamia Australia, wakiwa na uzoefu wa maisha ya ukimbizi.

Amelikwa kuchangia aliyopitia alipokuwa mkimbizi katika hafla maalum itakayo fanya katika ukimbi wa kanisa la Baptist la Parramatta.

Tukio hilo litakuwa Jumatatu 4 Novemba 2024, kuanzia saa moja unusu hadi saa tatu usiku. Anwani ya tukio ni: 5 Parramatta Square, Parramatta, NSW 2150

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service