Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia"

Francis Mwaura Mkurugenzi wa kampuni ya Openmaps Global Study2.jpg

Sekta ya elimu ya juu nchini Australia, ina thamani yama bilioni ya dola.


Kwa muda mrefu wanafunzi wakimataifa kutoka ukanda wa Afrika Mashariki, wamekuwa wakitumia huduma za kampuni mbali mbali kupata viza zao zakuja kusomea Australia.

Licha ya sekta hiyo kudumu kwa muda mrefu, pengo kadhaa zime tambuliwa na baadhi ya makampuni yame chukua hatua tayari kuanza kuziba mapengo hayo.

Bw Francis Mwaura ni Mkurugenzi wa kampuni ya Openmaps Global Study, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili alifunguka kuhusu alivyo ziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia.

Kwa taarifa zaidi kuhusu Openmaps Global Study, bonyeza hapo chini: www.openmaps.com.au/

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Francis "Openmaps Global Study imeziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia" | SBS Swahili