Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa"

Francis Mwaura Mkurugenzi wa kampuni ya Openmaps Education Agency.jpg

Idadi ya wanafunzi wakimataifa itapunguzwa mwaka ujao, serikali inapojaribu kupunguza uhamiaji wa ng’ambo.


Waziri wa Elimu Jason Clare amesema hatua hiyo ita leta usawa zaidi katika sekta ya elimu yakimataifa ila, vyuo vingi vime pinga mpango huo.

Kwa ujumla, idadi ya wanafunzi 270,000 wataweza anza kusomea nchini Australia katika mwaka wa 2025.

Francis Mwaura ni Mkurugenzi wa kampuni ya Openmaps Global Study, katika mahojiano maalum na SBS Swahili alifunguka kuhusu madhara ya sera hiyo mpya iwapo itapitishwa bungeni kwa wanafunzi wakimataifa haswa wanao toka Afrika Mashariki. Unaweza wasiliana na Bw Mwaura kupitia tovuti hii: https://www.openmaps.com.au/


Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Francis "wakati wakubadilisha shule ni sasa" | SBS Swahili