H_art the Band kuhusu tamasha ya Australia

H_art The Band ndani ya studio ya SBS Swahili.jpg

Kundi la H_art the Band kutoka Kenya, lili kuwa mjini Sydney kwa tamasha yao ya miji 5 mikuu ya Australia.


Wanachama wa H_art the Band, walitembelea studio ya SBS Swahili kwa mahojiano maalum kabla ya tamasha yao jijini Sydney.

Wasanii hao walifunguka kuhusu mapokezi waliyo pata nchini Australia pamoja na maandalizi ya tamasha zao. Tembelea mitandao yao yakijamii kwa taarifa zaidi kuhusu kazi zao.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service