Harris au Trump? wamarekani watoa hukumu yao

US Election 2024 Kamala Harris and Donald Trump

Vice President Kamala Harris and former President Donald Trump.

Takwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika historia ya nchi hiyo.


Wagombea wawili wakuu wa uchaguzi huo wame tembelea nakufanya kampeni kadhaa katika majimbo yanayo dhaniwa yata amua mshindi.

Bw Felix ni mpiga kura katika jimbo la North Carolina, ambalo ni miongoni mwa majimbo yanayo tarajiwa kuamua atake mrithi Rais Joe Biden.

Alipo zungumza na SBS Swahili Bw Felix, alifunguka kuhusu alivyo shuhudia katika kampeni za uchaguzi mkuu, hisia na moani ya jumuiya za watu kutoka Afrika Mashariki na Kati wanao stahiki kupiga kura.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service