Jinsi yakufanya rejesho lako la ushuru Australia

مصاريف العمل التي تدخل ضمن الحسومات الضريبية

Source: Getty

Kama wewe ni mkaaji wa Australia kwa madhumuni ya ushuru, kuanzia Julai 1, ambayo ni mwanzo wa mwaka wa fedha, lazima uweke wazi mapato yote uliyopata katika mwaka uliopita wa fedha, dhidi ya makato yako ya kodi.


Kulingana na tathmini hii, ofisi ya kodi ya Australia (ATO) ita amua marejesho yoyote unayo stahili pata au deni unayo stahili lipa.

Iwapo ni mara yako ya kwanza kuwasilisha marejesho ya ushuru au la, na iwapo unatumia wakala wa ushuru au la, ni muhimu kujua majukumu yako wakati wa ushuru unapo fika.

Robert Thomson, ni kamishna msaidizi katika ATO, amewakumbusha walipa ushuru kuwa, wako na hadi 31 Oktoba kuwasilisha marejesho yao ya ushuru au hata muda mrefu kama wanatumia wakala wa kodi.

Inapendekezwa kuahirisha kuwasilisha hati zako katika siku za kwanza za Julai.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Jinsi yakufanya rejesho lako la ushuru Australia | SBS Swahili