Kinyua "karibuni tusherehekee uafrika wetu kupitia soka ACT"

Vijana wakabana katika michuano ya kombe la Afrika la ACT, Australia.jpg

Wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Canberra, ACT wanajiandaa kushiriki katika kombe la Afrika kesho Jumamosi 14 Septemba 2024.


Michuano hiyo ya kila mwaka huwaleta wanajumuia pamoja, kuchangia uzoefu na utamaduni wao kupitia soka, muziki na vyakula. Timu za wanaume na wanawake hushiriki katika michuano hiyo.
Timu ya wanawake katika michuano ya Afrika ACT.jpg

Bw Kinyua ni mmoja wa waandalizi wa michuano hiyo, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili alifunguka zaidi kuhusu malengo na faida ya michuano hiyo.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service