Kipsang "niki imba vilabuni naimbia watu wa Mungu"

Msanii Kipsang kutoka Kenya

Kipsang ni msanii mzawa wa Kenya anaye tunga nyimbo naku imba katika lugha yaki Kalenjin.


Licha ya kujulikana kwa nyimbo zake katika lugha yaki Kalenjin, alipo anza kuimba alikuwa aki imba kwa Kiswahili na Kiingereza.

Alipo zungumza na SBS Swahili, Bw Kipsang alifunguka kwa nini aliamua kuacha kutumia Kiswahili na Kiingereza katika nyimbo zako nakuimba katika lugha yaki Kalenjin pekee.

Alifunguka pia kuhusu anavyo sawazisha kuwa msanii wa nyimbo zakidini, wakati anaimba pia nyimbo za dunia.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Kipsang "niki imba vilabuni naimbia watu wa Mungu" | SBS Swahili