Kuelewa sheria za vizuizi vya watoto pamoja na mazoezi bora

Mother putting baby girl in child seat in the car

Mother putting baby girl in baby car seat Credit: Drazen_/Getty Images

Hata kama Australia ina fahari yakuwa na moja ya viwango vya juu zaidi vya matumizi ya vizuizi vya watoto ndani ya gari, watoto wengi bado wana safiri ndani ya magari katika hali isiyo salama kutosha.


Ni muhimu kwa wazazi na walezi kuelewa mahitaji yakisheria pamoja na mbinu bora za kuongeza nafasi za watoto kupona ajali inapo fanyika.

Sheria za sasa za kitaifa za vizuizi vya watoto, zinahitaji watoto wote wafungwe kwa usalama katika kizuizi kinachofaa sambamba na umri na urefu wao.

Hata hivyo, mara nyingi familia hukabiliana na sintofahamu wanapo hama kutoka kizuizi kimoja cha mtoto nakutumia kingine, au wanapo fanya maamuzi yaku sitisha kabisa matumizi ya kiti cha mtoto.

Hatuwezi dhibiti muda wa ajali ya gari ila, tuna mamlaka yakuweka kipaumbele kwa usalama wa watoto wetu katika kila safari.

Kwa kuendelea kufanya chaguzi salama, kama kutumia vizuri vizuizi vya watoto, kufuata sheria na miongozo nakuhakikisha matumizi sahihi na marekebisho, tunaweza punguza sana hatari na kuwalinda watoto wetu katika tukio la mgongano ambao haukutarajiwa.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Kuelewa sheria za vizuizi vya watoto pamoja na mazoezi bora | SBS Swahili