Mali yaishtumu Ukraine kwa kuhusika katika shambulio nchini humo

(from archive ) Soldiers close to the borders with Mali

Source: AAP / AAP (from archive)

Mgogoro wakidiplomasia ume zuka kati ya Mali na Ukraine baada ya viongozi wa taifa hilo la Magharibi Afrika, kuishtumu taifa hiyo ya Mashariki ya Ulaya kuhusika katika shambulio nchini humo.


Kwa upande wao viongozi wa Ukraine wamekana shutma hizo.

Nchini Tanzania, jeshi la Polisi lime laumiwa na chama chakisiasa cha CHADEMA kwa matumizi mabaya ya mamlaka nakuwateka nyara baadhi ya wanachama wake.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service