Mhe Dkt Kogo "Kwa unyenyekevu hakuna haja yawa Kenya kupewa mitihani ya Kiingereza"

Mhe Balozi Dkt Wilson Kogo akizungumza na wanafunzi mjini Sydney.jpg

Wanafunzi na wahamiaji wengi kutoka Afrika Mashariki haswa Kenya, wame kuwa waki kabiliwa kwa changamoto yaku thibitisha uwezo wao wakuzungumza Kiingereza nchini Australia kabla yaku endeleza masomo yao.


Hoja hiyo imekuwa kero kubwa kwa wanajumuiya hao na licha ya maombi mengi kwa mamlaka husika hapajawa mabadiliko yoyote.

Katika mazungumzo maalum aliyo fanya na SBS Swahili, Balozi wa Kenya nchini Australia Mhe Dkt Wilson Kogo, alitoa wito kwa mamlaka husika iwa ondolee wa Kenya sharti hilo pamoja naku tambua taifa hilo kama nchi inayo zungumza Kiingereza.

Mhe Dkt Kogo alifunguka pia kuhusu uwakilishi mwingine anao wafanyia wakenya, nchini Australia. Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Mhe Dkt Kogo "Kwa unyenyekevu hakuna haja yawa Kenya kupewa mitihani ya Kiingereza" | SBS Swahili