Michael" viongozi wetu wanaweza fanya kazi kwa kasi wakitaka"

Seneti yabandua Naibu Rais wa Kenya madarakani.jpg

Siasa ya Kenya imetikiswa kwa kura ya kihistoria ndani ya Seneti iliyo sababisha Naibu Rais Rigathi Gachagua kubanduliwa mamlakani.


Bw Gachagua alipatwa na makosa 5 kati ya 11 yaliyo kuwa yakimkabili, hali hiyo ilikuwa na maana kwamba unaibu wa rais wa Bw Gachagua umesitishwa.

Bw Michael ni miongoni mwa maelfu ya wakenya wanao ishi Australia, yeye sawia na wakenya wenzake alifuatilia vikao hivyo vya seneti kwa kina.

Muda mfupi baada ya Seneti kutoa hukumu yake, Bw Michael ali eleza SBS Swahili hisia zake kuhusu aliyo shuhudia kutoka seneti.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service