Mwongozo rahisi waku kusaidia kufurahia msimu wa Cricket nchini Australia

Playing cricket

Cricket, Australia’s national summer sport Credit: Riccardo Parretti/pexels

Cricket ni mchezo maarufu sana Australia na, kwa muda mrefu mchezo huo umekuwa sehemu ya utamaduni wa Australia haswa wakati wa miezi ya majira ya joto.


Mchezo huo huleta pamoja familia na jumuia wakati wa likizo.

Katika makala haya ya Australia ya fafanuliwa, utajifunza maswala yakimsingi ya mchezo huo na kuhusu mifumo yake tofauti, kutoka mchezo wakitamaduni unao chezwa kwa siku kadhaa, hadi mifumo yakisasa yenye kasi maarufu kwa jina la T20.

Iwapo wewe tayari ni shabiki wa mchezo wa kriket au ni mgeni katika mchezo huo, tuta kuongoza katika michuano maarufu ili uweze pata shauku pia nakushiriki katika msimu wa kriket nchini Australia.

Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia ya fafanuliwa, kwa taarifa muhimu na vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia.

Je una swali lolote kuhusu au pendekezo ya mada? Tutumie barua pepe kwa: australiaexplained@sbs.com.au

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service