Nicky "kupitia Taunet Nelel vijana wengi wame anza kujijenga kimaisha"

Bw Nicky Boit mkurugenzi wa matukio, katika shirika la Taunet Nelel jimboni Victoria.jpg

Wakenya wanao ishi Australia watajumuika katika jiji la Dandenong jimboni Victoria, kuhudhuria hafla la shirika la Taunet Nelel.


Bw Nicky Boit ni Mkurugenzi wa Matukio katika shirika la Taunet Nelel jimboni Victoria.

Katika mahojiano na SBS Swahili alifunguka kuhusu kazi ambayo shirika lake hufanya katika jamii pamoja na maandalizi ya matukio ya wikiendi hii.

Matukio hayo yata kuwa katika anwani hizi:

Jumamosi 20 Aprili 2024:

Victorian Tamil Centre 40/44 Lonsdale Street, Dandenong Victoria, 3175.

Jumapili 21 Aprili 2024:

80 Carlton Road, Dandenong North, Victoria 3175.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service