Nini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi

Australia Explained - Jury Duty

macro of an actual jury duty summons. Credit: P_Wei/Getty Images

Kila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu wa baraza la waamuzi.


Je nini kina husika uki itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi? Na wajibu wa baraza la waamuzi ni gani?

Katika makala haya ya Australia yafafanuliwa tuta jibu maswali haya na mengi zaidi.

Baraza la waamuzi ni sehemu muhimu ya mfumo wa sheria ya Australia.

Ni wajibu wa kiraia kama raia wa Australia, kuhudumu katika baraza la waamuzi unapo alikwa kufanya hivyo, na watu wanaweza pewa faini wasipo fanya hivyo.

Huduma ya baraza la waamuzi huruhusu wanachama wa jumuiya, kuchukua jukumu kubwa katika usimamizi wa haki.

Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia yafafanuliwa kwa taarifa muhimu na, vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia. Je una swali lolote kuhusu au pendekezo ya mada? tutumie barua pepe kwa australiaexplained@sbs.com.au 

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Nini hutokea unapo itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi | SBS Swahili