Shakilah afunguka kuhusu huduma za Rotary Safe Families Victoria

Shakilah Wesonga afisa wa shirika la Rotary Safe Families.jpg

Shirika la Rotary Safe Families, hutoa taarifa zaku saidia kuzuia unyanyasaji kupitia miongozo iliyo tafsiriwa pamoja na filamu.


Shirika hilo lime tafsiri Mwongozo wakuzuia unyanyasaji wakifamilia nchini Australia katika lugha kadhaa kama; Kiswahili, Kiarabu, Farsi, Dari, kihindi, kigiriki, Mandarin na Kiingereza.

Lengo la tafsiri hizo nikutoa taarifa kwa jumuia zenye tamaduni tofauti nchini Australia ambazo Kiingereza ni lugha yao ya pili.

Shakilah Wesonga ni afisa kutoka shirika la Rotary Safe Families.

Ali fafanulia SBS Swahili aina ya huduma wanazo toa katika mahojiano maalum.

Kwa taarifa zaidi kuhusu huduma za Rotary Safe Families bonyeza hapa: https://rotarysafefamilies.org.au/







Advertisement


Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Shakilah afunguka kuhusu huduma za Rotary Safe Families Victoria | SBS Swahili