Taarifa ya Habari 10 Januari 2025

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Uchaguzi mkuu ujao wa shirikisho una chukua mkondo wakuwa shindano la gharama ya maisha ila, hakuna chama kikubwa ambacho kime toa ahadi kubwa za matumizi kwa ajili yakuwavutia wapiga kura.


Seneta wa chama cha Greens Sarah Hanson-Young, amerudia wito wa chama chake kwa hatua zichukuliwe kwa matendo ya uwekaji wa bei isiyo ya haki ya masoko makubwa.

Watanzania wametakiwa kusimama pamoja na kupaza sauti, dhidi ya vitendo vya utekaji vinavyoendelea nchini na jeshi la polisi latakiwa kukubali uwepo wa vitendo hivyo na kuwajibika kwa kufanya uchunguzi wanaharakati waomba.

Nchini DRC, asasi za kiraia zimefanya maandamano hapo jana siku ya Jumatano mjini Bukavu kupinga vita vinavyoendelea mashariki mwa nchi hiyo, lakini pia kuonesha hasira dhidi ya uchimbaji madini kinyume cha sheria.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service