Taarifa ya Habari 15 Oktoba 2024

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Mawaziri wa afya wa Australia wame idhinisha mchakato wa haraka, kwa madaktari waliofunzwa ng'ambo kuanza kufanya kazi kote nchini.


Jeshi la Ulinzi la Australia limethibitisha maafisa wake wanao hudumu katika vikosi vya amani katika ukanda wamashariki ya kati wako salama, tangazo hilo limejiri wakati kuna ongezeko ya wito wa maafisa hao warejeshwe nyumbani.

Shirika la misaada la Foodbank lime toa ripoti inayo onesha kuwa zaidi ya familia milioni 3 zinakabiliana na ukosefu wa chakula chakutosha, shinikizo la gharama ya maisha inawafanya baadhi ya wazazi wakose kula ili watoto wao wale.

Mwendesha mashtaka wa ICC atangaza uchunguzi mpya dhidi ya madai ya uhalifu Kongo.

Callixte Mbarushimana afutiwa mashitaka ya kuhusika katika mauaji ya halaiki ya Watutsi nchini Rwanda.

Jaji Mkuu ajibu maombi ya Gachagua kwa kuteua jopo la kusikiza kesi zake sita, hata hivyo Bw Gachagua anatarajiwa kufika ndani ya Seneti nchini Kenya hii leo kujibu mashtaka dhidi yake.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service