Waganga wakienyeji walikata viungo vya Jessy na George, sasa madaktari wa Australia wanarejesha afya yao

Jessy and George in Brisbane (SBS).jpg

Credit: Jennifer Scherer

Ushirikina umefanywa kwa mufa mrefu kote nchini Uganda.


Ni nchi ambako maswala ya enzi za zamani naya kisasa hukutana, watu wengi wanao ishi vijijini wana endeleza imani zama babu wao, wakati mjini kuna kasi ya maendeleo yakiuchumi. Ila kutoka mgongano huu wa tamaduni, swala lakutisha lina endelea kukuwa na, watoto wa Uganda wana lipa gharama.

Watoto wanapotea na wanakuwa waathiriwa wa kafara ya binadam, kwa mikono ya 'washirikina' au wachawi. Imekadiriwa kuwa angalau watoto wawili hupotea kila wiki, mara nyingi watoto hao hutekwa kwa kafara zakiibada.

Wanaharakati wamesema, ongezeko la visa hivyo, ina husiana na umasikini, sera duni kuwahusu wachawi na takriban asilimia 80 ya umma inayo tafuta ushauri kutoka kwa waganga wakienyeji.

Onyo kwa wasilikilizaji, makala haya yana kera sana.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service